5.2K
Downloads
349
Episodes
Jifunze nyenzo ya sayansi ya mapishi. Utapata Elimu ya magonjwa yasiyo ambukiza,Elimu ya magonjwa ya homoni,elimu ya lishe,kanuni za mapishi na Kanuni za Kula ulichopika. Kiujumla utajitibia Magonjwa ya lishe na Homoni kwa kutumia Chakula unachopika wewe mwenyewe jikoni.
Episodes
Friday Jun 16, 2023
kitambi kinaweza kukusababishia shinikizo la juu la damu (presha ya kupanda)
Friday Jun 16, 2023
Friday Jun 16, 2023
Katika Episode hii utajifunza jinsi kitambi kinavyoweza kumsababishia mtu kupata shinikizo la juu la damu (presha ya kupanda)
WASILIANA NASI SIMU
+255767 074 124
+225787 999 994
+255767 030 160
Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA
Tufuatilie katika mitandao ya kijamii
Version: 20241125
Comments (0)
To leave or reply to comments, please download free Podbean or
No Comments
To leave or reply to comments,
please download free Podbean App.